Pages

Friday, November 25, 2016

YALIOMO YAMO

Benki ya FBME nayo inaelekea kufuata nyayo za Twiga Bancorp katika kufilisika,imefahamika.
Benki hiyo imepozwa na baadhi ya madeni iliyonunua kutoka baenki ya NBC(Ingawa nayo inapumulia mashine)mnamo mwaka 2012.
 
Hata hivyo imeonekana kuwa wadaiwa wa benki ya FBME walikua wanalipa vizuri tu hadi mwishoni mwa mwaka 2015 ambapo hali ilibadika ghafla na wadaiwa hao kusuasua kwenye kulipa madeni yao ingawa waliendelea kulipa katika hali isiyokua na mtiririko maalum wa malipo.
 
Ikiwa hali itaendelea kua hivi,basi mnamo mwezi wa pili mwakani benki hii inaweza kuchukuliwa rasmi na BOT na kua under mufilisi.

    Hali hii inasababishwa na wadaiwa wengi kua wamiliki wa viwanda ambao wamejikuta wakilipa malimbikizo mengi ya madeni huku wengi wao wakiendelea kupigwa faini na TRA,TFDA,TBS,NEMC na mamalaka mbalimbali za miundombinu kutokana na hali duni ya uendeshaji wa viwanda hivyo kujikuta wakishindwa kulipa madeni ya FBME kwa uhakika
                      haya ndo kwanza asubuhi na tuna mwaka mmoja tu wa utawala
                                                                                                          ( wali nazi)

No comments:

Post a Comment