Pages

Tuesday, November 15, 2016

UBUYU WA MOTOMOTO

Calisah ashikiliwa na Jeshi la Polisi katika kituo cha polisi cha Garden Kinondoni mkwajuni,,
wali nazi anaripoti kua, mkasa huo umempata baada ya kutishia kuachia video na mapicha aliyowahi kupiga na mrembo wetu Wema Sepenga enzi ya penzi lao,,,,
SWALI??
Sasa sijui homa ya kuachwa bwana mdogo huyu ndo anaamua kutoa siri??
Au ndo kutafuta KICK????
Angekua mwajuma wa magurumbasi ungerusha???

KUTOKA KWANGU
Dogo huo ni ushamba yaani sawa unapata umaarufu lkn mwisho wake nn?
  una lolote la kuchangia kuhusu  UBUYU HUU
     Tiririka mwana wane.........https://scontent-lhr3-1.xx.fbcdn.net/v/t1.0-9/11264985_805043599609840_6846338231041851792_n.jpg?oh=82bb0c741a8de5a3acb364b97db3914e&oe=588FF06F

No comments:

Post a Comment