Thursday, October 29, 2015
LOWASSA AITAKA NEC ISITISHE MATOKEO
Mgombea Urais kwa tiketi ya ukawa Edward Lowassa ameitaka tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC) kusitisha kutangaza matokeo ya kura za Uraisi wa Jamhuri ya muungano wa tanzania na kuanza upya uhakikiwa matokeo inayopokea kutoka majimbo mbali mbali nchini.
Aliwaeleza waandishi wa habari jana kua, matokeo hayo yanatakiwa kuhesabiwa upya katika majimbo yote264 bila kutumia mfumo wa kuhesabu matokeo wa NEC aliodai unatumiwa na tume hiyo na chama cha mapinduzi (ccm) kuchakachua matokeo.
MAALIM APINGA UCHAGUZI KURUDIA
Mgombea wa Uraisi kupitia ticket ya CUF Maalim Seif jana amegoma kutoa maamuzi na amesema yeye hana mamlaka ya kuamua bila ya kuwashirikisha makamishna na hawatambui uamuzi huo wa KUFUTA MATOKEO YA UCHAGUZI na wanawasiliana na taasisi husika za kimataifa na kuwaomba mashirika kusaidia juu ya jambo hilo
(wali nazi)
KHLOE UNASTAHILI PONGEZI!!!!!!!!
Wewe ni mke mwema,,kitendo cha kuamua kurudi kwa mumeo ambae umetengana nae kwa muda hasaa baada ya kugundua anahitaji msaada wako!!(mungu akufungulie milango ya baraka)!!!!!!!!aiseee nimekuheshimu ni kitendo cha ushujaa,,huku kwetu mhhh ndo wangekomesha hasaa aone mwanaume atakavyoangaika na hivi kama alimtesa mhhhh ndo uwii
(wali nazi)
(wali nazi)
SAWAA UMEMKABIDHI KAZI ALIOKUTUMA!! LKN JE ULIKUMBUKA KUMWAMBIA SHIDA ZETU SISI WASANII??
Ni jambo lililo jema sana kama ukitumwa kazi ukaifanya ipasavyo na ukafanikiwa,,ni raha sana unapoenda ikabidhi hiyo kazi kwa makeke,,maaana unajua imetimia(Kama ulivyoikabidhi kazi kuwastua wananchi ulotumwa na MAGUFULI kama si CCM),,MASWALI YANGU KWAKO RAY KIGOSI
1:Ulimwambia cosota wanavyotunyonya?na wala hawasimamii kazi zetu toka serikalin?
2;Ulimwambia bodi ya filamu wanavyoua soko la filamu tanzania?
3:Ulimwambia mtaani kuna mabanda yanakodisha filamu bila sisi kupata faida?
4:Ulimwambia kabla hajafungua mahakama ya MAFISADI afungue mahakama ya wezi wa filamu?
Au hukuyakumbuka haya?uliwaza kua kampen ni kipindi cha mpito tu?sijui kama ulikumbuka 99% ya wasanii ni mafukara kupindukia,,hata hili la kuwaomba TRA nayo ipunguze kodi ya filamu za kwetu na iongeze kodi zaidi kwa filamu za nje??nilitegemea ungemwambia MAGUFULI KAZI YAKO ULIONITUMA NIMEIFANYA KWA UAMINIFU MKUBWA NASUBIRI NAWE UTUKUMBUKE WASANII KATIKA UFALME WAKO!!lakini sivyo!!!ndiyooo aliwatuma na mlitumika sasa ni wajibu wake KUWATUMIKIA!!!!!!!eeee kila mla huliwa
SIWEZI KUA ADUI KWA KUSEMA UKWELI...............
.ni mimi (wali nazi)

Thursday, October 22, 2015
WAKALI WA STYLE!!!!!!!!!!!
duhhhh!!!!!!!!!!
hatari tupu,,,,,!!!!!!!!!!
eee bwana eee,,,!!!
lovely,,,,,,,,,,,!!!!!!!!!!!
familia ya pesdaa hatariii!!!!!!!!! never ever
so wengine kutwaa matenge tu! tena style ileile kha!!!!!!!!!!!!!!wakati kuna mishono kibao mitamu ambayo ukitumia hichohicho kitenge unanoga hatari...

Subscribe to:
Posts (Atom)