Pages

Friday, February 3, 2017

MHHH MH.MAKONDA HAPANA SIJAKUELEWA BADO!

 Image result for MH. PAUL MAKONDA
                                                      Pichani Mh.Paul Makonda




Nimekaa nimejiuliza sana hivi ni kweli mkuu wetu yupo kwenye VITA YA MADAWA YA KULEVYA??????KABISAAA??????

Dah!!hii vita ndo umeanza kwa kuwataja na kuwaita  Chid Benzi,Wema Sepetu, na TID kuja polisi eti unapambana DRUG DEALERS???serious?

Inawezekana mawazo yangu hayako sahihi lkn mhh si kwa huu utani wallah tena..
Em kaa chini tena ufikirie mi naomba hapa kikomando tu rudisha majeshi nyuma
 Jipange af ujue unapambanaje!nafikiri unajua nguvu ya adui unaepambana nae ikoje,,

   Hicho kiama ulichotangaza BADO HAKIJAWA KIAMA wallah tena!mhhh umekianza,,,, any way mi sitaki kuongea mengi najua we mtoto wa mjini na umenisoma vizur na umeelewa kabisaa nategemea utakuja na mbinu mpya ya kuwataja na kuwaita wale MAPAPA YALIYOTAJWA ENZI ZA UTAWALA ULEEE AF YAKAMEZEWA,,
Hapo nitajua kweli MKUU WANGU UMEJITOA MUHANGA NA UPO TAYARI KUFA KWELI!
na nitapongeza uzalendo wako wa kujitoa muhanga kwa NCH YAKO YA TANZANIA


                                                                           Na...... WALI NAZI