Pages

Wednesday, November 30, 2016

USILOLIJUA

  
1.Tembo pamoja na ukubwa wake akitembea hana kishindo kabisaa,miguu yake kwa chini nikama ina sponji
2.Tembo ana uzito wa tani 7
3`Tembo jike hubeba mimba miaka 2.
4`Tembo mtoto huzaliwa akiwa na  kilo 80
5.Chakula cha tembo kwa siku ni kilo 300 na maji lita 40
6.Uume wa tembo una kilo 27,ukimuona wakati anafanya mapenzi kwa nyuma unaweza hisi ana miguu mitatu.
7.Ni moja ya wanyama ambao hawapendi kelele.
8.Wastani wa umri wake wa kuishi ni miaka 60
9.Tembo hufanya mapenzi kwa masaa 12,masaa 6 ya mwanzo huyatumia kumuandaa mwenzi wake na 6 yanayobaki ndo shughuli yenyewe huanza.na hiyo ni raundi ya kwanza(bao la kwanza
10.Tembo dume hua na wanawake 2 mpaka 4
11.Akipiga bao tembo dume manii zake ni ujazo wa lita 5

HAHAH UKIAMBIWA USIMUIGE TEMBO UWE UNAELEWA MAZEE
                                                                                                     (Wali nazi)

Friday, November 25, 2016

YALIOMO YAMO

Benki ya FBME nayo inaelekea kufuata nyayo za Twiga Bancorp katika kufilisika,imefahamika.
Benki hiyo imepozwa na baadhi ya madeni iliyonunua kutoka baenki ya NBC(Ingawa nayo inapumulia mashine)mnamo mwaka 2012.
 
Hata hivyo imeonekana kuwa wadaiwa wa benki ya FBME walikua wanalipa vizuri tu hadi mwishoni mwa mwaka 2015 ambapo hali ilibadika ghafla na wadaiwa hao kusuasua kwenye kulipa madeni yao ingawa waliendelea kulipa katika hali isiyokua na mtiririko maalum wa malipo.
 
Ikiwa hali itaendelea kua hivi,basi mnamo mwezi wa pili mwakani benki hii inaweza kuchukuliwa rasmi na BOT na kua under mufilisi.

    Hali hii inasababishwa na wadaiwa wengi kua wamiliki wa viwanda ambao wamejikuta wakilipa malimbikizo mengi ya madeni huku wengi wao wakiendelea kupigwa faini na TRA,TFDA,TBS,NEMC na mamalaka mbalimbali za miundombinu kutokana na hali duni ya uendeshaji wa viwanda hivyo kujikuta wakishindwa kulipa madeni ya FBME kwa uhakika
                      haya ndo kwanza asubuhi na tuna mwaka mmoja tu wa utawala
                                                                                                          ( wali nazi)

Tuesday, November 15, 2016

HONGERA MBOWE

Shirika la kutetea haki za binaadamu la human right watch,
 limemtaja kiongozi wa upinzani Mh.Freeman Mbowe kua ni mwenyekiti wa kwanza Africa wa chama asiepokea mshahara ndani ya chama chake na pia ametajwa kua ni kiongozi alieleta mageuzi makubwa ya kisiasa Tanzania na anaeendesha shughuli za kisiasa pasipo kuvunja HAKI za BINAADAMU

                     Chanzo:CNN



                             https://pbs.twimg.com/profile_images/639775354144616449/8hEm1-Kj.jpg                                                   (Mh. freeman Mbowe katika pozi matata)

ILIYOBAMBA

Safi sana mdada,,,haya ndo tunayataka badala ya kashfa au kujichafua kwa tabia chafu mtaani,kuvuta unga,bangi na umalaya
hasira unamalizia kwenye shule,familia na kutafuta chapaa.
Hongera kwako KEYSHA kwa kupata MTOTO WA 3 na SHAHADA ya UNUNUZI na UGAVI(bachelor degree in procurement and supplies management) pamoja....mlee mtoto wako kwa malezi na maadili yanayompendeza Munguhttp://www.bongomovies.com/wp-content/uploads/2016/11/KEISHA44.jpg

UBUYU WA MOTOMOTO

Calisah ashikiliwa na Jeshi la Polisi katika kituo cha polisi cha Garden Kinondoni mkwajuni,,
wali nazi anaripoti kua, mkasa huo umempata baada ya kutishia kuachia video na mapicha aliyowahi kupiga na mrembo wetu Wema Sepenga enzi ya penzi lao,,,,
SWALI??
Sasa sijui homa ya kuachwa bwana mdogo huyu ndo anaamua kutoa siri??
Au ndo kutafuta KICK????
Angekua mwajuma wa magurumbasi ungerusha???

KUTOKA KWANGU
Dogo huo ni ushamba yaani sawa unapata umaarufu lkn mwisho wake nn?
  una lolote la kuchangia kuhusu  UBUYU HUU
     Tiririka mwana wane.........https://scontent-lhr3-1.xx.fbcdn.net/v/t1.0-9/11264985_805043599609840_6846338231041851792_n.jpg?oh=82bb0c741a8de5a3acb364b97db3914e&oe=588FF06F