Pages

Friday, August 5, 2016

VIJANA HAKUNA MAISHA YA MKATO KIRAHISI HIVYO!!!!!!!!!!

Wasanii wa muziki wa Bongo fle va,Abdulraul Ikbar (kushoto)na Hamady Hafidh wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuuawa,,katika tukio la ujambazi lilitokea juzi  huko Tanga.





Hawa jamaa waliuawa kwa kupigwa risasi na polisi katika tukio la ujambazi lililohusika na uporaji katika gari la mwalimu mmoja ambae hakujulika jina lake mara moja,,,
binafsi yangu nashangazwa vijana wadogo kama hawa kujiingiza kwenye vitu visivyofaa matokeo yake wamepoteza uhai wangali wadogo sana huku wakiacha familia zao zikiwa na majonzi tele,,,kwa sababu tu ya kupenda shortcut!!!!!
             Nani aliwaambia maisha yanakua rahisi ukipiga matukio?????ndg zanguni pigen mzigo kwa nguvu muyatengeneze maisha yenu ya baadae na si kwa kukaba watu au kuiibia watu hata hao mnaowaibia pia mnwarudisha nyuma jaman,,,,af dah unapoteza maisha kwa wizi mdogo hivi?????maana bora lingekua booonge la tukio japo nalo si vizuri coz wizi ni wizi tu na haukubaliki!!!!!!!!
   hayaa hii funzo kwenu kwa ubongo wa fleva wenye kazi kama ya hawa jamaa,,,na vijana wengine woote
                                                                   ( wali nazi)

No comments:

Post a Comment