Pages

Friday, August 5, 2016

KIPRE HUYOOOOO NDANI AL NAHDA!!!!!!!!!!

  Mshambuliaji wa Azam Kipre Tchetche ametambulishwa rasmi katika klabu mpya ya Al Nahda ya Oman...
dah!!!!!!!!sasa sijui itakuaje maana huku Tanzania kaacha bonge la soo katika timu alokua anachezea naizungumzia AZAM FC,,,wanadai kua jamaa bado mkataba wake haujaisha wa kuitumikia timu hiyo,,,
maana bwa kaka huyu aligoma kabisaaa kujiunga na wenzake katika maandalizi ya msimu mpya kwa madai kua kachoka kucheza Tanzania,,,,
   hahhahahahahah haya ngoja tuone hawa jamaa watafuata sheria au watapotezea??


No comments:

Post a Comment