Haya jaman mambo yashanoga tena,,mzigo mpyaaaaa toka kwa mabroda hawa 2 namzungumzia CHEGE CHIGUNDA(aka mtoto wa mama Saidi) na DIAMOND (aka Dangote au baba tiffa)wamedondosha bonge la nyimbo ambalo lishakua story mtaani linalojulika kwa jina la WAACHE WAOANE,,,,haya sasa cjui ndo dongo kwa nani?maana tushazoea hawa wakileta nyimbo lazima kutakua na story nyuma ya pazia
fanya kulitafuta kwenye link ipo kwenye bio ya chege(insta) af uje utoe maoni yako kama kweli hilo dude ni hatariiiiii,,,
No comments:
Post a Comment