Wednesday, November 30, 2016
USILOLIJUA
1.Tembo pamoja na ukubwa wake akitembea hana kishindo kabisaa,miguu yake kwa chini nikama ina sponji
2.Tembo ana uzito wa tani 7
3`Tembo jike hubeba mimba miaka 2.
4`Tembo mtoto huzaliwa akiwa na kilo 80
5.Chakula cha tembo kwa siku ni kilo 300 na maji lita 40
6.Uume wa tembo una kilo 27,ukimuona wakati anafanya mapenzi kwa nyuma unaweza hisi ana miguu mitatu.
7.Ni moja ya wanyama ambao hawapendi kelele.
8.Wastani wa umri wake wa kuishi ni miaka 60
9.Tembo hufanya mapenzi kwa masaa 12,masaa 6 ya mwanzo huyatumia kumuandaa mwenzi wake na 6 yanayobaki ndo shughuli yenyewe huanza.na hiyo ni raundi ya kwanza(bao la kwanza
10.Tembo dume hua na wanawake 2 mpaka 4
11.Akipiga bao tembo dume manii zake ni ujazo wa lita 5
HAHAH UKIAMBIWA USIMUIGE TEMBO UWE UNAELEWA MAZEE
(Wali nazi)
Friday, November 25, 2016
YALIOMO YAMO
Benki ya FBME nayo inaelekea kufuata nyayo za Twiga Bancorp katika kufilisika,imefahamika.
Benki hiyo imepozwa na baadhi ya madeni iliyonunua kutoka baenki ya NBC(Ingawa nayo inapumulia mashine)mnamo mwaka 2012.
Hata hivyo imeonekana kuwa wadaiwa wa benki ya FBME walikua wanalipa vizuri tu hadi mwishoni mwa mwaka 2015 ambapo hali ilibadika ghafla na wadaiwa hao kusuasua kwenye kulipa madeni yao ingawa waliendelea kulipa katika hali isiyokua na mtiririko maalum wa malipo.
Ikiwa hali itaendelea kua hivi,basi mnamo mwezi wa pili mwakani benki hii inaweza kuchukuliwa rasmi na BOT na kua under mufilisi.
Hali hii inasababishwa na wadaiwa wengi kua wamiliki wa viwanda ambao wamejikuta wakilipa malimbikizo mengi ya madeni huku wengi wao wakiendelea kupigwa faini na TRA,TFDA,TBS,NEMC na mamalaka mbalimbali za miundombinu kutokana na hali duni ya uendeshaji wa viwanda hivyo kujikuta wakishindwa kulipa madeni ya FBME kwa uhakika
haya ndo kwanza asubuhi na tuna mwaka mmoja tu wa utawala
( wali nazi)

Tuesday, November 15, 2016
HONGERA MBOWE
Shirika la kutetea haki za binaadamu la human right watch,
limemtaja kiongozi wa upinzani Mh.Freeman Mbowe kua ni mwenyekiti wa kwanza Africa wa chama asiepokea mshahara ndani ya chama chake na pia ametajwa kua ni kiongozi alieleta mageuzi makubwa ya kisiasa Tanzania na anaeendesha shughuli za kisiasa pasipo kuvunja HAKI za BINAADAMU
Chanzo:CNN
(Mh. freeman Mbowe katika pozi matata)
limemtaja kiongozi wa upinzani Mh.Freeman Mbowe kua ni mwenyekiti wa kwanza Africa wa chama asiepokea mshahara ndani ya chama chake na pia ametajwa kua ni kiongozi alieleta mageuzi makubwa ya kisiasa Tanzania na anaeendesha shughuli za kisiasa pasipo kuvunja HAKI za BINAADAMU
Chanzo:CNN

ILIYOBAMBA
Safi sana mdada,,,haya ndo tunayataka badala ya kashfa au kujichafua kwa tabia chafu mtaani,kuvuta unga,bangi na umalaya
hasira unamalizia kwenye shule,familia na kutafuta chapaa.
Hongera kwako KEYSHA kwa kupata MTOTO WA 3 na SHAHADA ya UNUNUZI na UGAVI(bachelor degree in procurement and supplies management) pamoja....mlee mtoto wako kwa malezi na maadili yanayompendeza Mungu

UBUYU WA MOTOMOTO
Calisah ashikiliwa na Jeshi la Polisi katika kituo cha polisi cha Garden Kinondoni mkwajuni,,
wali nazi anaripoti kua, mkasa huo umempata baada ya kutishia kuachia video na mapicha aliyowahi kupiga na mrembo wetu Wema Sepenga enzi ya penzi lao,,,,
SWALI??
Sasa sijui homa ya kuachwa bwana mdogo huyu ndo anaamua kutoa siri??
Au ndo kutafuta KICK????
Angekua mwajuma wa magurumbasi ungerusha???
KUTOKA KWANGU
Dogo huo ni ushamba yaani sawa unapata umaarufu lkn mwisho wake nn?
una lolote la kuchangia kuhusu UBUYU HUU
Tiririka mwana wane.........

Sunday, August 7, 2016
Friday, August 5, 2016
UBUYU WA MOTOOO!!!!!!!!!
Dah sijui nianzie wapi????????mwee maana yalikua moto hatari ilkn sasa navyosikia imebaki history uwiii yashapoa mwaya tena baridi ile hatari si kitoto,,,
hawa ndege wanana 2 hawapo tena pamojaaa,bibie wolper karudi kwa wake wa zamani,,,mhh umbea huu nicjesutwa haya wenzangu em ingieni mtaan af mniletee ubuyu ili tuongezee nyama ya story yetu,,,hahaha ruksa kusema lolote kasoro tusi
VIJANA HAKUNA MAISHA YA MKATO KIRAHISI HIVYO!!!!!!!!!!
Wasanii wa muziki wa Bongo fle va,Abdulraul Ikbar (kushoto)na Hamady Hafidh wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuuawa,,katika tukio la ujambazi lilitokea juzi huko Tanga.
Hawa jamaa waliuawa kwa kupigwa risasi na polisi katika tukio la ujambazi lililohusika na uporaji katika gari la mwalimu mmoja ambae hakujulika jina lake mara moja,,,
binafsi yangu nashangazwa vijana wadogo kama hawa kujiingiza kwenye vitu visivyofaa matokeo yake wamepoteza uhai wangali wadogo sana huku wakiacha familia zao zikiwa na majonzi tele,,,kwa sababu tu ya kupenda shortcut!!!!!
Nani aliwaambia maisha yanakua rahisi ukipiga matukio?????ndg zanguni pigen mzigo kwa nguvu muyatengeneze maisha yenu ya baadae na si kwa kukaba watu au kuiibia watu hata hao mnaowaibia pia mnwarudisha nyuma jaman,,,,af dah unapoteza maisha kwa wizi mdogo hivi?????maana bora lingekua booonge la tukio japo nalo si vizuri coz wizi ni wizi tu na haukubaliki!!!!!!!!
hayaa hii funzo kwenu kwa ubongo wa fleva wenye kazi kama ya hawa jamaa,,,na vijana wengine woote

KIPRE HUYOOOOO NDANI AL NAHDA!!!!!!!!!!
Mshambuliaji wa Azam Kipre Tchetche ametambulishwa rasmi katika klabu mpya ya Al Nahda ya Oman...
dah!!!!!!!!sasa sijui itakuaje maana huku Tanzania kaacha bonge la soo katika timu alokua anachezea naizungumzia AZAM FC,,,wanadai kua jamaa bado mkataba wake haujaisha wa kuitumikia timu hiyo,,,
maana bwa kaka huyu aligoma kabisaaa kujiunga na wenzake katika maandalizi ya msimu mpya kwa madai kua kachoka kucheza Tanzania,,,,
hahhahahahahah haya ngoja tuone hawa jamaa watafuata sheria au watapotezea??

KICHUPA KIPYAAAA TOKA KWA CHEGE FT DIAMOND!!!!!!!!
Haya jaman mambo yashanoga tena,,mzigo mpyaaaaa toka kwa mabroda hawa 2 namzungumzia CHEGE CHIGUNDA(aka mtoto wa mama Saidi) na DIAMOND (aka Dangote au baba tiffa)wamedondosha bonge la nyimbo ambalo lishakua story mtaani linalojulika kwa jina la WAACHE WAOANE,,,,haya sasa cjui ndo dongo kwa nani?maana tushazoea hawa wakileta nyimbo lazima kutakua na story nyuma ya pazia
fanya kulitafuta kwenye link ipo kwenye bio ya chege(insta) af uje utoe maoni yako kama kweli hilo dude ni hatariiiiii,,,

BAADA YA TUNDU LISSU KATIBU MKUU WA BAVICHA TAIFA NAE AKAMATWA!!!!!!!!!
(Katibu mkuu wa bavicha Taifa Julius Gabriel Mwita)
Wakati bado wapo mahakamani na hawajajua nini hatma ya mwanasheria mkuu mh.Tundu Lissu likatokea balaa jingine la kukamatwa kwa katibu huyo mkuu wa bavicha Taifa bwn.Jullius Gabriel. Mpaka tunaingia mtamboni bado haijaeleweka nini hasa chanzo cha kukamatwa kwake.....taarifa kamili nitawaletea

Subscribe to:
Posts (Atom)