Pages

Monday, November 9, 2015

VIOJA VYA BABAFUNKY

                                             (Babafunky akiwa na kewe pamoja na wapambe)

Mchekeshaji Babafunky ametoa kali ya mwaka baada ya kufunga ndoa na mkewe Nelly huku yeye na mpambe wake wakiwa wametupia kaptula za blue na mashati ya pinki.
 ndoa hiyo ambayo ilifungwa mwezi uliopita huko lagos na kuudhuliwa na watu wengi...na imelezwa kua ndoa hiyo ilikua ya aina yake kutokana kua na mpangilio mnzuri kuanzia mavaz mapaka  sherehe nzima kwa ujumla.

                                               (Babafunky na mkewe Nelly)

No comments:

Post a Comment