jana katika basi fulani ctaki kulitaja kuna wanafunzi na dokta mmoja wakisafiri toka moro kuja dar ....walikaa na abiria wengine wakiwa na magazeti ndani ya magazeti kulikua
na majamani tuwe makini katika haya mabasi tunayosafiri,kuna wanafuniz na dokta
mmoja wakisafiri toka morogoro kuja dar jin, walikaa na adawa ya kulevya..kila
walipokua wakifungua ukurasa ndo wanavuta,,,wameibiwa kila kiitu(BAHATI MBAYA PICHA ZIMENIGOMEA)
No comments:
Post a Comment