BUNGE LA 11 KUANZA RASMI LEO!!!!!!
Mbunge mteule wa Kongwa, Job Ndugai
Bunge la 11 linaanza leo na kutafanyika uchaguzi wa Spika wa Bunge na Majina ya watu 8 wanaowania nafasi ya uspika wa jamhuri ya muungano wa Tanzania yaliyopokelewa na katibu wa bunge Dr.Thomas Kashilila ni haya hapa.
A: Peter Sarungi (AFP)
B: Hassan Kisabiya (N.R.A)
C: Dkt Godfrey Malisa (CCK)
D: Job Ndugai (CCM)
E: Goodluck Ole Medeye (CHADEMA)
F: Richard Lymo (T.L.P)
G: Hashimu Rungwe (CHAUMA)
H: Robert Kisinini (DP)
No comments:
Post a Comment