Kuna kikao IKULU ya Zanzibar kuhusu suala la uchaguzi, waliohudhuria ni hao pichan ambao ni Rais mstafu Amani Karume,Maalim Seif,Ali Hassan Mwinyi,Ali Mohamed Shein,Raisi mstaafu Jakaya Kikwete,Salim Ahmad Salim,Jonathan Gudluck,balozi wa uingereza aliekuwepo Tazania,ujumbe wa Umoja wa Africa pia Jk ndo mwenyekiti na ujumbe Bankmoo wawakilishi wa UN,,,em tusubiri maana bado hakiajaisha tutajuzana
No comments:
Post a Comment