Pages

Wednesday, November 18, 2015

JIDE UMEKUBALI KUA HISTORIA????????

Kama kuna watu nilikua nawapa heshima basi ni wewe JIDE kama kuna mwanamuziki nilikua nampenda sanaaa basi ni wewe JIDE na kama kuna mdada mjasiriamali,muhangaikaji alokua ananivutia na kunipa hamasa basi ni wewe JIDE!!!!!!!!

     
Lkn kila nikikutafuta cku hizi ckuoni,,naulizia wapi upo kimyaaaa mhhhhh natafuta wapi unafanya maonyesho ya bendi yako kimyaa,,, naumia moyo wangu sababu umekubali nyimbo ulioitunga mwenyewe ikurudi mwenyewe.. juzi nafunga safari nije basi pale kwenye mgahawa wako ulokua unatufanya tujazane nikakuta jina limebadilishwa najiuliza UMEPABINAFSISHA?nikashidwa hata kunywa soda nikasepa huku nikikosa raha.

  Swali langu ULIKUA UNATEMBELEA NYOTA YA GADNER?mi nakataa sababu huyo GADNER mbona alikukuta unapambana???????why umeruhusu biashara zako zibaki historia?
unataka uniambie bila huyo jamaa huwezi songa?????NAKATAA PIA TENA SITAKI !!!!!!!!!!
 naamini bila yeye waweza,,,

          Maoni yangu,,em angalia wapi uliteleza then jipange upya...mi najua una watu kibao ambao unaweza kuwaomba wakushike mkono ukarudi yulee JIDE WANGU,Jide ninae mpenda,Jide ninae mkubali,,jipe nafasi ya kutafakari,kuanzia tabia yako mpaka  ufanyaji kazi wako,,,JIPANGE UPYA COMANDO,,chukua usemi huu ambao mi hua naupenda sana,,STRONG WILL SHAKE BUT NEVER COLLAPSE!!!!!!,MSHIRIKISHE MUNGU, utasimama upya

                                                                                                                                        .. (wali nazi)


No comments:

Post a Comment