Hahahahha haya dogo ,,,,inaelekea wee ni balaaa ee??haya umewapa nn hawa warembo mpaka watibuane kisa wewe?????mhhh haya jamani kuna ubuyu wa motoooo huo nawadondosheaaa kuna
mashost 2 wa bongo movie namzungumzia Salma Jabu a.k.a Nisha na Husna Iddi a.k.a Sajenti wapo katika varangati kuuubwa wakimgombea kijana huyu mdooogo BARAKA DA PRINCE
( Sajent katika pozi)
Naona vijana siku hizi mnakuja kasi hatari kwa kuwakamata madada zenu hatari ,,hatari!!!!!ndo,mambo ya kizungu ama?????hahah hatuangalii miaka babu!!!haya bwana kila tu yuko huru kufanya apendalo lkn ndo isizidi bwanaaaaa watatukosea heshima hawa!!! walau muwe mmewazidi hata mika 2,3,4, so mbaaaya
( nisha katika ubora wake)
Wao ndo wanjua ukweli kamili kama kweli ama lah,,maana nimejitahidi kuwatafuta ili wabwage manyanga lkn simu hazipokelewi na pindi ntakawapowapata ntawaletea umbea wooote
ee bwana mi staki uongo wasije kua wamzingiziwa bureeee maana watu nao hatari hatari!
(wali nazi)
Duh
ReplyDelete