Pages

Wednesday, November 18, 2015

ILIYOBAMBA LEO!!!!!!!!!!

                                                              ( bibie lulu)

nice one mamy wake,,ulipendeza hataari gauni zuri,,umerembwa vizuriii mpaka raha  jamani

CHEHEZE BARAKA WEEE!!!!!!!!!

Hahahahha haya dogo ,,,,inaelekea wee ni balaaa ee??haya umewapa nn hawa warembo mpaka watibuane kisa wewe?????mhhh haya jamani kuna ubuyu wa motoooo huo nawadondosheaaa  kuna
mashost 2 wa bongo movie namzungumzia Salma Jabu a.k.a Nisha na Husna Iddi  a.k.a Sajenti wapo katika varangati kuuubwa wakimgombea kijana huyu mdooogo BARAKA DA PRINCE



                                                                  ( Sajent katika pozi)

Naona vijana siku hizi mnakuja kasi hatari kwa kuwakamata madada zenu hatari ,,hatari!!!!!ndo,mambo ya kizungu ama?????hahah hatuangalii miaka babu!!!haya bwana kila tu yuko huru kufanya apendalo lkn ndo isizidi bwanaaaaa watatukosea heshima hawa!!! walau muwe mmewazidi hata mika 2,3,4, so mbaaaya

                                                                      ( nisha katika ubora wake)
  Wao ndo wanjua ukweli kamili kama kweli ama lah,,maana nimejitahidi kuwatafuta ili wabwage manyanga  lkn simu hazipokelewi na pindi ntakawapowapata ntawaletea umbea wooote  
 ee bwana mi staki uongo wasije kua wamzingiziwa bureeee maana watu nao hatari hatari!
 
                                                                                                          (wali nazi)                                                                                                                    

JIDE UMEKUBALI KUA HISTORIA????????

Kama kuna watu nilikua nawapa heshima basi ni wewe JIDE kama kuna mwanamuziki nilikua nampenda sanaaa basi ni wewe JIDE na kama kuna mdada mjasiriamali,muhangaikaji alokua ananivutia na kunipa hamasa basi ni wewe JIDE!!!!!!!!

     
Lkn kila nikikutafuta cku hizi ckuoni,,naulizia wapi upo kimyaaaa mhhhhh natafuta wapi unafanya maonyesho ya bendi yako kimyaa,,, naumia moyo wangu sababu umekubali nyimbo ulioitunga mwenyewe ikurudi mwenyewe.. juzi nafunga safari nije basi pale kwenye mgahawa wako ulokua unatufanya tujazane nikakuta jina limebadilishwa najiuliza UMEPABINAFSISHA?nikashidwa hata kunywa soda nikasepa huku nikikosa raha.

  Swali langu ULIKUA UNATEMBELEA NYOTA YA GADNER?mi nakataa sababu huyo GADNER mbona alikukuta unapambana???????why umeruhusu biashara zako zibaki historia?
unataka uniambie bila huyo jamaa huwezi songa?????NAKATAA PIA TENA SITAKI !!!!!!!!!!
 naamini bila yeye waweza,,,

          Maoni yangu,,em angalia wapi uliteleza then jipange upya...mi najua una watu kibao ambao unaweza kuwaomba wakushike mkono ukarudi yulee JIDE WANGU,Jide ninae mpenda,Jide ninae mkubali,,jipe nafasi ya kutafakari,kuanzia tabia yako mpaka  ufanyaji kazi wako,,,JIPANGE UPYA COMANDO,,chukua usemi huu ambao mi hua naupenda sana,,STRONG WILL SHAKE BUT NEVER COLLAPSE!!!!!!,MSHIRIKISHE MUNGU, utasimama upya

                                                                                                                                        .. (wali nazi)


STARS HAOO NJIAN KURUDI HOME

                                              (Taifa stars wakijiandaa na safari ya kurudi Tanzania)

Duh!!!!!!!!!!!mimi si shabiki wa mpira kabisaaaaaaaaaaa!!!!!!! lkn linapokuja swala uzalendo ndo napouweka utanzania wangu!!!! timu yangu ikicheza na nchi yeyote hua nafuatilia japo sina nnalolijua katika sanaa hii ya mpira,,,lkn huwez amini hua naumia hatari mpaka natamani kulia tunaposhindwa.
     
                    Hivi kuna nini jamani katika hawa wachezaji wetu??ina maana wao hawaumii kufungwa??au wanaona raha hawa kila cku tunavyowealalamikia?hivi lini watatupa raha tukajivunia uwepo wao?????????YAAN KAMA KUNDI LINANIUZI HAPA TANZANIA BASI NI LA WACHEZAJI MPIRA HASA HAWA TAIFA STARS!!!!!!!!!!(Nasema haya kwa uchngu hatari)


                                                                  (kikosi cha Taifa stars)

kweli lkn jamani magoli 7 kweli lkn jamani????????kweli lkn kweli lkn........
basi mimi nina wazo jamani   VILE VIWANJA VYA MPIRA BORA VIBINAFSISHWE ILI WAWEKEZAJI WAFUNGUE MAMALL AU KUMBI ZA SHEREHE MBALIMBALI
TUTAPATA PESA,,,kuliko kuwaachia hawa jamaa....wallahi tena

                                                                                                                       (wali nazi)

BOMOA BOMOA MWENGE

                      (baadhi ya wafanyabiashara wa eneneo lilobomolewa wakiwa na sintofahamu)
   
Bomoa bomoa ya waliojenga maeneo ambayo yamekatazwa na serikali imeanza kwa ghafla eneo la mwenge hali ambayo ilmeleta mtafaruku kwa wamiliki wa maeneo hayo ambayo kwa asilimia 100 ni maeneo yalopangishwa kwa wafanyabiashara,,,
                                       (baadhi ya eneo liliobomolewa)
 
 Waboamoaji hao walitinga na matingatinga hayo na kuanza kubomoa kwa fujo  iliyopelekea baadhi ya bidhaa kufunikwa na mabaki ya matofali,mabati,mbao pamoja na udongo uliotokana na ubomoaji huo.hali iliyopelekea wamiliki wa maeneo hayo kupata shida kubwa na mateso katika kuokoa mali zao.

   
                     ( pichan ni wafanyabiasha ndogondogo wa eneo hilo wakilinda mabak ya vitu)

Baadhi ya wafanyabiashara hao wameilalamikia serikali kwa kitendo cha kuvamia ghafla eneo hilo bila taarifa maalumu ya kuwapa wajiandae kutoka eneo husika kabla ya kubomoa.
"fikiria mpaka sasa hatujalipwa sisi ambao tuna frem za biashara af wanatuvamia tu wakati tulishajenga majengo yetu kabla ya matangazo yao ya kutaka kubomoa"alisikika mama neema ambaye ni mmoja wa waliokutwa na shida hiyo..nae Juma Khamis ambae ana steshenali eneo hilo alisema haya,,nanukuu "kwa nini aanze na sisi walalahoi asianze na hao MAFISADI PAPA anaosema atajenga mahakama yao?au anaogopa kuanza kuvunja kwa vigogo wenzie??aantaka tuingie mtaan tuanze kuua??mi naona hataki vijana tufanye kazi anata tudhurure alimalizia jama huyo kwa jazba."mwisho wa kunukuu...
     
       wazo langu naona serikali ingeweka wazi kuhusu ubomoaji huu na ingetoa taarifa siku 3 kabla ya ubomoaji ili wahusika waweze ondoa mali zao na kuzihifadhi vizuri,na ckuvamia tu wanaumiza wanachi
                                                                                                                               (wali nazi...)

Tuesday, November 17, 2015

SPIKA WA BUNGE LA 11 HUYU HAPA!!!!!!


                                                    (Mh.Job Ndungai)

Hatimae  Job Ndungai achaguliwa kua spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania ,ambapo litakua ndo bunge la 11 ukitoa 10 yaliopita... mhhhh haya sasa cjui viboko vitaendeleaa mwana wanee
                                                                                                    (wali nazi )

ILIYOBAMBA!

       
                     Nice style jamani! kapendeza hatari,,kajitengeneza safi hatari kajiremba vizuri                                                kulingana na style ya nywele zake!!!!!!!!!

JAMANI EM TUIACHE HII FAMILIA ITULIE!!!!!!!!!!!!





Jamani ifikie mahali inabidi tuwaachie maisha yao,,wallahi tena maana kila kona sa hivi ni mtoto wa platnam tu!!!!!!wako watu huko mikoani mpaka mitaa ya hapa dar wanaamini wazi kua tiffa si mtoto wa platnam INAKERA UJUE??
Mtoto mbona anaonekana kabisa wa platnam huyo??af hata kama c wake walimwengu mntaka nn?yeye mwenyewe kashasema kua TIFFA NI DAMU YAKE??ushahidi gan tena mwataka?kwa navyojua ki Africa baba akikubali mtoto hakuna mwingine wakupinga!!!!!!!lkn duhh jamaa hata kama antaka KICK bac nafikiri inamtesa hii maana huko uswahilin kuwabadilisha kua TIFFA C MWANA WA PLATNAM ni ngumu juzi nipo saloon nakuta watu mpaka wantaka pigana kisa wanasema platnamu analea mtoto c waake ahhhhh jaman!!!!!!!!!yanawahusu nn?fanyeni yenu bac
yeye ndo kashatambua kua TIFFA  ni wa kwake!!!!!!!!!!!!!!!!! 

                                                                    Mtoto Tiffa

BUNGE LA 11 KUANZA RASMI LEO!!!!!!

                                            Mbunge mteule wa Kongwa, Job Ndugai


Bunge la 11 linaanza leo na kutafanyika uchaguzi wa Spika wa Bunge na Majina ya watu 8 wanaowania nafasi ya uspika wa jamhuri ya muungano wa Tanzania yaliyopokelewa na katibu wa bunge Dr.Thomas Kashilila ni haya hapa.

A: Peter Sarungi (AFP)
B: Hassan Kisabiya (N.R.A)
C: Dkt Godfrey Malisa (CCK)
D: Job Ndugai (CCM)
E: Goodluck Ole Medeye (CHADEMA)
F: Richard Lymo (T.L.P)
G: Hashimu Rungwe (CHAUMA)
H: Robert Kisinini (DP)

Monday, November 16, 2015

TAHADHARI!!!!!!!TAHADHARI!!!TAHADHARI!


jana katika basi fulani ctaki kulitaja kuna wanafunzi na dokta mmoja wakisafiri toka moro kuja dar ....walikaa na abiria wengine wakiwa na magazeti ndani ya magazeti kulikua na majamani tuwe makini katika haya mabasi tunayosafiri,kuna wanafuniz na dokta mmoja wakisafiri toka morogoro kuja dar jin, walikaa na adawa ya kulevya..kila walipokua wakifungua ukurasa ndo wanavuta,,,wameibiwa kila kiitu(BAHATI MBAYA PICHA ZIMENIGOMEA)


 ANGALIZO:USIPENDE KUAZIMA GAZETI UKIWA NDANI YA GARI LA ABIRIA

KAMA NIMEOTA HIVII!!!


Kuna kikao IKULU ya Zanzibar kuhusu suala la uchaguzi,  waliohudhuria ni hao pichan ambao ni Rais mstafu Amani  Karume,Maalim Seif,Ali Hassan Mwinyi,Ali Mohamed Shein,Raisi mstaafu Jakaya Kikwete,Salim Ahmad Salim,Jonathan Gudluck,balozi wa uingereza aliekuwepo Tazania,ujumbe wa Umoja wa Africa pia Jk ndo mwenyekiti na ujumbe Bankmoo wawakilishi wa UN,,,em tusubiri maana bado hakiajaisha tutajuzana


Monday, November 9, 2015

VIOJA VYA BABAFUNKY

                                             (Babafunky akiwa na kewe pamoja na wapambe)

Mchekeshaji Babafunky ametoa kali ya mwaka baada ya kufunga ndoa na mkewe Nelly huku yeye na mpambe wake wakiwa wametupia kaptula za blue na mashati ya pinki.
 ndoa hiyo ambayo ilifungwa mwezi uliopita huko lagos na kuudhuliwa na watu wengi...na imelezwa kua ndoa hiyo ilikua ya aina yake kutokana kua na mpangilio mnzuri kuanzia mavaz mapaka  sherehe nzima kwa ujumla.

                                               (Babafunky na mkewe Nelly)

HONGERA SAMATTA

                                (Mbwana samatta alievalia jezi nyeupe akionyesha umahili wake)

Mshambuliaji wa wa Kimataifa wa Tanzania,aliendika HISTORIA ya kuwa MTANZANIA wa kwanza kuwa mfungaji bora Afrika.  katika fainali ya pili ya ligi ya Mabingwa Afrika Samatta ameweza funga magoli 9, na kuweza kuipatia timu yake ushindi,

                                                    (Samatta katika poz)

HAYA SASA!!!!!!!!!!!




duh!!!!!!!! sasa mshikaji sijui itakuwaje?maana ulikua unaingia IKULU kama CHOO cha STAND
 Sijui na kwa huyu mh,Magufuli itakua hivyohivyo??nasubiria ili nione maana tenda za MATAMASHA ya IKULU nasikia ulikua unakamata hatari!!!!!!!!!!!!!

NDOTO YANGU!!!!!!!!!


Nimeota elimu bure imefeli, serikali haina HELA halmashauri hazina bajeti ya elimu bure.....eti bajeti ilishapitishwa hadi july 2016 ..sasa cjui tulidanganywa??sasa sijui hii sera ya ELIMU BURE ,, sijui walikopy???haikuwepo ccm???!!!!!!!!!!!!NAOMBA MNAOJUA KUTAFASIRI NDOTO MNISAIDIE JAMANI,,,,,,,,