Sikia tambo za kocha wa AZAM FC... alisema,,, katika mechi yao ya keshokutwa Jumamosi amekuja kivingine akiwa ameandaa sapraizi tatu za kuiangamiza Yanga na kama zitafanya kazi, basi Jangwani wajiandae kula kipigo kwani msimu huu hawataki masihara hata kidogo
“Nimeiandalia Yanga sapraizi tatu kwa ajili ya mechi hiyo, kama ikishindwa kwenda nazo vizuri, lazima watupatie matokeo, hivyo ndivyo tulivyowafunga mwaka 2013 ambapo niliwawekea Kimwaga na Maliki (Farid) wakashindwa kuwakaba,” alisema Hall
“Kwa sasa nina watu wawili muhimu, yupo Kipre Bolou ambaye amepona majeraha yake, yupo fiti na anataka kucheza katika mechi hiyo, hawajamuona siku nyingi hivyo atakuwa na mambo mageni kwao. HAYA TUONE JUMAMOSI SI MBALI TUTAJUA KATI YA TIMU HIZI MBILI(yanga na azam) NANI ATAAMKA KIDEDEA???????
wachezaji wa timu ya yanga
wachezaji wa timu ya azam fc
No comments:
Post a Comment