Pages

Thursday, October 29, 2015

SAWAA UMEMKABIDHI KAZI ALIOKUTUMA!! LKN JE ULIKUMBUKA KUMWAMBIA SHIDA ZETU SISI WASANII??

Ni jambo lililo jema sana kama ukitumwa kazi ukaifanya ipasavyo na ukafanikiwa,,ni raha sana unapoenda ikabidhi hiyo kazi kwa makeke,,maaana unajua imetimia(Kama ulivyoikabidhi kazi kuwastua wananchi ulotumwa na  MAGUFULI kama si CCM),,MASWALI YANGU KWAKO RAY KIGOSI
  1:Ulimwambia cosota wanavyotunyonya?na wala hawasimamii kazi zetu toka serikalin?  
  2;Ulimwambia  bodi ya filamu wanavyoua soko la filamu tanzania?
  3:Ulimwambia mtaani kuna mabanda yanakodisha filamu bila sisi kupata faida?
  4:Ulimwambia kabla hajafungua mahakama ya MAFISADI afungue mahakama ya wezi wa filamu?
Au hukuyakumbuka haya?uliwaza kua kampen ni kipindi cha mpito tu?sijui kama ulikumbuka 99% ya wasanii ni mafukara kupindukia,,hata hili la kuwaomba TRA nayo ipunguze kodi ya filamu za kwetu na iongeze kodi zaidi kwa filamu za nje??nilitegemea ungemwambia MAGUFULI KAZI YAKO ULIONITUMA NIMEIFANYA KWA UAMINIFU MKUBWA NASUBIRI NAWE UTUKUMBUKE WASANII KATIKA UFALME WAKO!!lakini sivyo!!!ndiyooo aliwatuma na mlitumika sasa ni wajibu wake  KUWATUMIKIA!!!!!!!eeee kila mla huliwa
 SIWEZI KUA ADUI KWA KUSEMA UKWELI...............

                                                                                                  .ni mimi (wali nazi)
 

No comments:

Post a Comment