Pages

Friday, October 9, 2015

R.I.P ESTOMIH MALLA


Mgombea  ubunge wa arusha  mjini kwa tiketi ACT WAZALENDO ndg Estomih Malla amefariki dunia uciku wa jana saa saba katika hospitali ya KCMC moshi!!!ndg Malla alipelekwa KCMC jana mchana kutokea hospitali ya st. thomas iliyopo Arusha mjin baadaya kulazwa hapo kwa cku mbili kwa sababu ya kupata tatizo la shinikizo la juu la  damu!!!!!!
     Hali jiyo ilimtokea siku ya tarehe 6/10/2015 mara baada ya kumalizika mkutano wa kampeni uliokua unafanyika ngaramatoni,ambapo alilalamika kusinikia kizunguzungu na baadae kukimbizwa hospitali ya st. Thomas, madaktari pale walisema anasumbuliwa na uchovu hivyo anapaswa kupumzika kwa muda mrefu!
        TU WATEMBEZI KATIKA DUNIA KWA HAKIKA SOTE TUTALEJEA KWA MOLA!!!!!


No comments:

Post a Comment