Saturday, October 17, 2015
PETER KIBATALA ATINGA MAHAKAMAN KUISHTAKI NEC
(Peter Kibatala)
Mgombea ubunge wa viti maalumu katika jimbo la kilombero kupitia chadema,Amy Pascience Kibatala amefungua kesi hiyo kwa mwanasheria mkuu wa serikali,,akiomba litolewe tamko kuhusu tafsiri ya kifungu cha 104 (1) cha sheria ya Taifa ya uchaguzi,sura ya 343 ilivyorejewa mwaka 2010..Kibatala amefungua kesi hiyo dhidi ya mwanasheria mkuu wa serikali(AG) na Mwenyekiti wa NEC,,chini ya hati ya dharura. shauri namba 37 la mwaka 2015,limefunguliwa baada ya nec kuwataka wananchi,baada ya kupiga kura oktoba 25,warudi nyumbani huku UKAWA unaondwa na CHADEMA ,CUF,NCCR-Mageuzi na NLDwakihimiza wanachama na wafuasi wao kulinda kura kwa kukaa umbali wa mita 200 baada ya kupiga kura kama sheria inavyosema.......ikumbukwe zimebaki SIKU 7 TU!!!!!!!!!!!!!!!je atatimiza anayoyataka??????????
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment