Pages

Tuesday, October 20, 2015

MIGOGORO YA MAPENZI!




Wanaume si wepesi kuvumilia,,hii ina maana ya kwamba wanaume wengi(si wote) ndiyo wagumu sana linapokuja suala la kutatua matatizo ya ndoa,,,, wanawake hupenda sana yaishe...
   Inakuwaje mwanaume akifumaniwa?au inakuawaje mwanamke akifumaniwa?
    unaweza kujua  NANI ATASAMEHE NA NANI ATAFUKUZWA KABISAA??

No comments:

Post a Comment