Mgombea Urais kwa tiketi ya ukawa Edward Lowassa ameitaka tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC) kusitisha kutangaza matokeo ya kura za Uraisi wa Jamhuri ya muungano wa tanzania na kuanza upya uhakikiwa matokeo inayopokea kutoka majimbo mbali mbali nchini.
Aliwaeleza waandishi wa habari jana kua, matokeo hayo yanatakiwa kuhesabiwa upya katika majimbo yote264 bila kutumia mfumo wa kuhesabu matokeo wa NEC aliodai unatumiwa na tume hiyo na chama cha mapinduzi (ccm) kuchakachua matokeo.
No comments:
Post a Comment