( Katika picha ni Mh.Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye)
Shamba la waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye lililopo Bunjunje kidogo ya jiji la Dar es salaam limevamiwa na vijana wasiojulika na kugawana eneo lote.
Taarifa kutoka Bunju zinasema vijana hao walianza zoezi hilo jana majira ya subuhi ambapo kila mmoja alisimama kwenye eneo analotaka kukatiwa ambapo wengine walianza maandalizi ya ujenz.
Vijana hao walisikika wakisema wamechoka kuangalia maeneo makubwa wanayomiliki viongozi yakikaa bila kuendelezwa wakati wao hawana ardhi
Na nasemakana maandali hayo ya uvamizi yalianza tangu wiki iliyopita.
No comments:
Post a Comment