Pages

Wednesday, October 14, 2015

HILI NALO NENO!!!!!!!!!!!!



Kuna swali moja liliulizwa na mdau kutoka MTWARA (kwenye kipindi chanel ten)aliuliza hivi
BAADA YA KUPIGA KURA MNAWAAMBIA WAONDOKE wakati baada ya kuhesabu msimamizi anatakiwa kutoka nje na kutangaza matokeo,,JE ATAWATANGAZIA AKINA NANI WAKATI HAKUNA WATU?????boooonge la swali yaan nakupongeza sana ndg yangu wewe wa mtwara!!!!! haya et wajamani kuna haja ya sisis kuondoka baada ya kupiga kura???tupia maoni yako....!

No comments:

Post a Comment