Thursday, October 29, 2015
LOWASSA AITAKA NEC ISITISHE MATOKEO
Mgombea Urais kwa tiketi ya ukawa Edward Lowassa ameitaka tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC) kusitisha kutangaza matokeo ya kura za Uraisi wa Jamhuri ya muungano wa tanzania na kuanza upya uhakikiwa matokeo inayopokea kutoka majimbo mbali mbali nchini.
Aliwaeleza waandishi wa habari jana kua, matokeo hayo yanatakiwa kuhesabiwa upya katika majimbo yote264 bila kutumia mfumo wa kuhesabu matokeo wa NEC aliodai unatumiwa na tume hiyo na chama cha mapinduzi (ccm) kuchakachua matokeo.
MAALIM APINGA UCHAGUZI KURUDIA
Mgombea wa Uraisi kupitia ticket ya CUF Maalim Seif jana amegoma kutoa maamuzi na amesema yeye hana mamlaka ya kuamua bila ya kuwashirikisha makamishna na hawatambui uamuzi huo wa KUFUTA MATOKEO YA UCHAGUZI na wanawasiliana na taasisi husika za kimataifa na kuwaomba mashirika kusaidia juu ya jambo hilo
(wali nazi)
KHLOE UNASTAHILI PONGEZI!!!!!!!!
Wewe ni mke mwema,,kitendo cha kuamua kurudi kwa mumeo ambae umetengana nae kwa muda hasaa baada ya kugundua anahitaji msaada wako!!(mungu akufungulie milango ya baraka)!!!!!!!!aiseee nimekuheshimu ni kitendo cha ushujaa,,huku kwetu mhhh ndo wangekomesha hasaa aone mwanaume atakavyoangaika na hivi kama alimtesa mhhhh ndo uwii
(wali nazi)
(wali nazi)
SAWAA UMEMKABIDHI KAZI ALIOKUTUMA!! LKN JE ULIKUMBUKA KUMWAMBIA SHIDA ZETU SISI WASANII??
Ni jambo lililo jema sana kama ukitumwa kazi ukaifanya ipasavyo na ukafanikiwa,,ni raha sana unapoenda ikabidhi hiyo kazi kwa makeke,,maaana unajua imetimia(Kama ulivyoikabidhi kazi kuwastua wananchi ulotumwa na MAGUFULI kama si CCM),,MASWALI YANGU KWAKO RAY KIGOSI
1:Ulimwambia cosota wanavyotunyonya?na wala hawasimamii kazi zetu toka serikalin?
2;Ulimwambia bodi ya filamu wanavyoua soko la filamu tanzania?
3:Ulimwambia mtaani kuna mabanda yanakodisha filamu bila sisi kupata faida?
4:Ulimwambia kabla hajafungua mahakama ya MAFISADI afungue mahakama ya wezi wa filamu?
Au hukuyakumbuka haya?uliwaza kua kampen ni kipindi cha mpito tu?sijui kama ulikumbuka 99% ya wasanii ni mafukara kupindukia,,hata hili la kuwaomba TRA nayo ipunguze kodi ya filamu za kwetu na iongeze kodi zaidi kwa filamu za nje??nilitegemea ungemwambia MAGUFULI KAZI YAKO ULIONITUMA NIMEIFANYA KWA UAMINIFU MKUBWA NASUBIRI NAWE UTUKUMBUKE WASANII KATIKA UFALME WAKO!!lakini sivyo!!!ndiyooo aliwatuma na mlitumika sasa ni wajibu wake KUWATUMIKIA!!!!!!!eeee kila mla huliwa
SIWEZI KUA ADUI KWA KUSEMA UKWELI...............
.ni mimi (wali nazi)
1:Ulimwambia cosota wanavyotunyonya?na wala hawasimamii kazi zetu toka serikalin?
2;Ulimwambia bodi ya filamu wanavyoua soko la filamu tanzania?
3:Ulimwambia mtaani kuna mabanda yanakodisha filamu bila sisi kupata faida?
4:Ulimwambia kabla hajafungua mahakama ya MAFISADI afungue mahakama ya wezi wa filamu?
Au hukuyakumbuka haya?uliwaza kua kampen ni kipindi cha mpito tu?sijui kama ulikumbuka 99% ya wasanii ni mafukara kupindukia,,hata hili la kuwaomba TRA nayo ipunguze kodi ya filamu za kwetu na iongeze kodi zaidi kwa filamu za nje??nilitegemea ungemwambia MAGUFULI KAZI YAKO ULIONITUMA NIMEIFANYA KWA UAMINIFU MKUBWA NASUBIRI NAWE UTUKUMBUKE WASANII KATIKA UFALME WAKO!!lakini sivyo!!!ndiyooo aliwatuma na mlitumika sasa ni wajibu wake KUWATUMIKIA!!!!!!!eeee kila mla huliwa
SIWEZI KUA ADUI KWA KUSEMA UKWELI...............
.ni mimi (wali nazi)
Thursday, October 22, 2015
WAKALI WA STYLE!!!!!!!!!!!
duhhhh!!!!!!!!!!
hatari tupu,,,,,!!!!!!!!!!
eee bwana eee,,,!!!
lovely,,,,,,,,,,,!!!!!!!!!!!
familia ya pesdaa hatariii!!!!!!!!! never ever
so wengine kutwaa matenge tu! tena style ileile kha!!!!!!!!!!!!!!wakati kuna mishono kibao mitamu ambayo ukitumia hichohicho kitenge unanoga hatari...
hatari tupu,,,,,!!!!!!!!!!
eee bwana eee,,,!!!
lovely,,,,,,,,,,,!!!!!!!!!!!
familia ya pesdaa hatariii!!!!!!!!! never ever
so wengine kutwaa matenge tu! tena style ileile kha!!!!!!!!!!!!!!wakati kuna mishono kibao mitamu ambayo ukitumia hichohicho kitenge unanoga hatari...
YEES!!!!!!!!!!!WE NEED MABADIRIKO!!!!!!!!!
Mmeteseka sana,,mmelia sanna,mmehangaika sana,,,,,,,SASA NI WAKATI WA KUFUTA CHOZI NA KUFANYA MAAMUZI SAHIHI KWA TAIFA LETU!!!!!!!!!!!!
MAMBO YA BBY COME BACK!!!!!!!!!!!!
Looo!!!!!!kweli mahusiano ya mtu ucyaingilie,,,,haya wale vizabinazabina kutwa kwenye ndoa za watu!!!!AIBU YENU HIYO IMEWAKUTA!!!!!!!!!chezea mapenzi wewe!!!!!!Esma mwaya funga milango na madirisha yaache ya mitaan yapite babu!!!!!!!UMESHARUDIANA NA MUMEO TULIENI MULEE MTOTO WENU KWA MAPENZI MOTO!!!!!!!!!!!!!!!!!
Tuesday, October 20, 2015
MIGOGORO YA MAPENZI!
Wanaume si wepesi kuvumilia,,hii ina maana ya kwamba wanaume wengi(si wote) ndiyo wagumu sana linapokuja suala la kutatua matatizo ya ndoa,,,, wanawake hupenda sana yaishe...
Inakuwaje mwanaume akifumaniwa?au inakuawaje mwanamke akifumaniwa?
unaweza kujua NANI ATASAMEHE NA NANI ATAFUKUZWA KABISAA??
Monday, October 19, 2015
KIMENUKA!!!!!
( Katika picha ni Mh.Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye)
Shamba la waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye lililopo Bunjunje kidogo ya jiji la Dar es salaam limevamiwa na vijana wasiojulika na kugawana eneo lote.
Taarifa kutoka Bunju zinasema vijana hao walianza zoezi hilo jana majira ya subuhi ambapo kila mmoja alisimama kwenye eneo analotaka kukatiwa ambapo wengine walianza maandalizi ya ujenz.
Vijana hao walisikika wakisema wamechoka kuangalia maeneo makubwa wanayomiliki viongozi yakikaa bila kuendelezwa wakati wao hawana ardhi
Na nasemakana maandali hayo ya uvamizi yalianza tangu wiki iliyopita.
Saturday, October 17, 2015
(kocha msaidizi wa timu ya yanga Juma Mwambusi)
Inawezekana baadhi ya wadau walikuwa hawamfahamu sana Mwambusi unajua kwa nn?? huyu jamaa si mmoja kati ya makocha waongeaji sana kwenye vyombo vya habari, ila ki ukweli ana mafanikio mengine makubwa zaidi kwani ndiye aliyeiwezesha timu ya Mkoa wa Mbeya ‘Mapinduzi Stars’ kuchukua ubingwa wa Kombe la Taifa mara mbili tofauti, Pia wadau wa soka walikuwa hawamfahamu hadi pale alipoipandisha Mbeya City katika Ligi Kuu msimu wa 2013/14 na kuifanya iwe tishio kubwa kwenye msimu wake wa kwanza tu, ambapo timu hiyo ilifanikiwa kucheza kwa kiwango kikubwa na kumaliza ikiwa nafasi ya tatu ikiipikua Simba iliyoangukia nafasi ya nne.
Mwambusi kwa sasa amejiunga na Yanga akienda kufanya kazi kama Kocha Msaidizi na imani ndoto zake za kwenda kushiriki michuano ya kimataifa zitatimia..nenda mjombaaa,,, najua utajifunza mbinu nyingi za kiuchezaji katika michuano hii mikubwa nafasi ambayo ingekua ngumu kuipata kama bado ungebaki MBEYA CITY. Na am sure daraja lako litapanda kwa kufanya kazi na kocha hans........
Inawezekana baadhi ya wadau walikuwa hawamfahamu sana Mwambusi unajua kwa nn?? huyu jamaa si mmoja kati ya makocha waongeaji sana kwenye vyombo vya habari, ila ki ukweli ana mafanikio mengine makubwa zaidi kwani ndiye aliyeiwezesha timu ya Mkoa wa Mbeya ‘Mapinduzi Stars’ kuchukua ubingwa wa Kombe la Taifa mara mbili tofauti, Pia wadau wa soka walikuwa hawamfahamu hadi pale alipoipandisha Mbeya City katika Ligi Kuu msimu wa 2013/14 na kuifanya iwe tishio kubwa kwenye msimu wake wa kwanza tu, ambapo timu hiyo ilifanikiwa kucheza kwa kiwango kikubwa na kumaliza ikiwa nafasi ya tatu ikiipikua Simba iliyoangukia nafasi ya nne.
Mwambusi kwa sasa amejiunga na Yanga akienda kufanya kazi kama Kocha Msaidizi na imani ndoto zake za kwenda kushiriki michuano ya kimataifa zitatimia..nenda mjombaaa,,, najua utajifunza mbinu nyingi za kiuchezaji katika michuano hii mikubwa nafasi ambayo ingekua ngumu kuipata kama bado ungebaki MBEYA CITY. Na am sure daraja lako litapanda kwa kufanya kazi na kocha hans........
UWIII SUGU AUCHUNA BDAY YA MWANAE!!!!!!!!!
Sawa!!!!!!!!!!ilikua vyema sana kama baba wa mtoto kuwepo kwenye siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa mtoto wake !!!!!!!!Lkn ukifikiria saaana kuna zidi ya jambo ambalo nadhan Mh. Sugu Kwa makusudi kabisa kaamua kuingia mtini katika shughuli hiii!!!!!!!!!!!!!naotea tu,,,,,inawezekana tabia zako za uvaaji mbaya ndizo zilizomtisha jamaa kutokea katika inshu hiyo!!!!!!!! maana wewe ukawii kutoa VICHWA VYA HABARI katika magazeti,,wallah tena c unaju jamaa ni mh????af yuko kwenye mbio za kutetea kiti chake kule mbeya?????haya kwa vivazi hivi MH ATAUNGANA NAWE?? si utamuharibia katika michakato yake????? maana kila party lazima uwe kituko katika jamiii... ndiyo hua unaharibu bwana.....!!!! marafiki wa mm na fans wangu semeni ukweli kwenye hili,.dondoshen poits wajamen........
(faiza katika ubora wake wa mavazi)
laana tupu!!!!!!!
PETER KIBATALA ATINGA MAHAKAMAN KUISHTAKI NEC
(Peter Kibatala)
Mgombea ubunge wa viti maalumu katika jimbo la kilombero kupitia chadema,Amy Pascience Kibatala amefungua kesi hiyo kwa mwanasheria mkuu wa serikali,,akiomba litolewe tamko kuhusu tafsiri ya kifungu cha 104 (1) cha sheria ya Taifa ya uchaguzi,sura ya 343 ilivyorejewa mwaka 2010..Kibatala amefungua kesi hiyo dhidi ya mwanasheria mkuu wa serikali(AG) na Mwenyekiti wa NEC,,chini ya hati ya dharura. shauri namba 37 la mwaka 2015,limefunguliwa baada ya nec kuwataka wananchi,baada ya kupiga kura oktoba 25,warudi nyumbani huku UKAWA unaondwa na CHADEMA ,CUF,NCCR-Mageuzi na NLDwakihimiza wanachama na wafuasi wao kulinda kura kwa kukaa umbali wa mita 200 baada ya kupiga kura kama sheria inavyosema.......ikumbukwe zimebaki SIKU 7 TU!!!!!!!!!!!!!!!je atatimiza anayoyataka??????????
Thursday, October 15, 2015
BREAKING NEWS!!!!!!!!!!!!!!!!!!
MWENYEKITI WA NLD,,,, CHAMA KINACHOUNDA UMOJA WA UKAWA MZEE MAKAIDI(Mzee wa moto moto motoooo) AMEFARIKI DUNIA AKIWA LINDI SAA SITA MCHANA HUU,,,,.chanzo cha kifo ni ugonjwa moyo
(Mbele yake nyuma yetu!mungu amlaze mahali pema peponi type ameen)
(Mbele yake nyuma yetu!mungu amlaze mahali pema peponi type ameen)
MBIO ZA ARSENAL!!!!
Arsenal iko mbioni kumuongezea mkataba ALEXIS SANCHEZ ambae kwa msimu wa pili mfululizo ameibuka kua staa mkubwa klabuni hapo....kwa maana hiyo ni wazi REAL MADRID inammendea staa huyo baada ya kuona kiwango chake kinapanda kwa kasi.! italazimika kufanya kazi ya ziada katika kuhakikisha inamnasa staha huyo ili kutimiza ndoto zake.
Sikia tambo za kocha wa AZAM FC... alisema,,, katika mechi yao ya keshokutwa Jumamosi amekuja kivingine akiwa ameandaa sapraizi tatu za kuiangamiza Yanga na kama zitafanya kazi, basi Jangwani wajiandae kula kipigo kwani msimu huu hawataki masihara hata kidogo
“Nimeiandalia Yanga sapraizi tatu kwa ajili ya mechi hiyo, kama ikishindwa kwenda nazo vizuri, lazima watupatie matokeo, hivyo ndivyo tulivyowafunga mwaka 2013 ambapo niliwawekea Kimwaga na Maliki (Farid) wakashindwa kuwakaba,” alisema Hall
“Kwa sasa nina watu wawili muhimu, yupo Kipre Bolou ambaye amepona majeraha yake, yupo fiti na anataka kucheza katika mechi hiyo, hawajamuona siku nyingi hivyo atakuwa na mambo mageni kwao. HAYA TUONE JUMAMOSI SI MBALI TUTAJUA KATI YA TIMU HIZI MBILI(yanga na azam) NANI ATAAMKA KIDEDEA???????
wachezaji wa timu ya yanga
wachezaji wa timu ya azam fc
HATIMAE SASA WAKUBALI!!!!!!
Kulikua na maneno meeeengi!!!wakubwa waliotutangalia walishaona dalili,,,wakasema kuna kitu kinachoondelea lkn bi dada SHAMSA FORD(bongo movie) na mkaka NEY WA MITEGO(bongo fleva)wakajitahidi kutumia nguvu nyingi kukanusha kua hawali tunda la kati!!!!!ahhahaah walokua wanaojua ukweli walichill ki aina...Lkn upande wa magazeti hatari mtaan yakabwaga ukweli,,,watu wachague mchele na chuya,,,,,.!!!watoto hawa 2 wa mjini bado walizungushia ukuta wa shaba katika mahusiano!!!!lkn mwisho wa siku walitii amri ya mapaparaz hahahahhaha uwiiiii wakafungua milango wakatoa ya moyoni kua wao SHAMSA NA NEY NI WAPENZIIIIIII!!!!!!!!!!!
KUTOKA KWANGU MIMI COLETHA NAWATAKIA KILA KHERI KATIKA MAHUSIANO YENU!!ILA BI DADA UCJISAHU SANAAA!!maaana mhhh bwa kaka aeleweki...
UCKU MTAMUUUU!!!!!!!!!!
oyoooo wale wanaopenda mambo ya maunooo!!!! hatari tupu leo kaika UCKU MTAMU paleeeee CLUB 71 KIBO COMLEX ,,,,,,,uckose raha jaman!!!!!!!!! AF DADA YENU NTAKUA NDANI YA NYUMBA !!!!!!!!!!!Karibuuu upate utamu!!!!C YA KUKOSA HIII
VIMBWANGA VYA SIASAI!!!!!!!!!
NEWS za ITV kuupokea mwili wa marehemu Mh.Kigoda jana jamani mliziangalia????Mzee wa PUSHUP ameongea na kusema kuwa marehemu dakika chache kabla ya kupelekwa ICU huko INDIA aliongea nae akamshauri jinsi ya kushirikiana na WAFANYABIASHARA na baadae Dk Kigoda akamtumia EMAIL pia kumpa ushauri kabla hajafa!!naombeni msikilizen kwenye marudio ya NEWS!!! Hapa sasa ndo kanishangaza kabisaaa nikawa najiuliza MTU WA ICU ANAWEZA KWELI KUTUMA EMAIL????HUU SI UONGO ????ndondosha maoni
MHHHH HII NGUMU KIDOGO!!!
Mara zote TANZANIA tumetawaliwa na MARAISI wanaume hatujawahi tawaliwa na RAISI mwanamke!!!na raisi mwanaume mkewe tumezoea kumuita FIRST LADY!!!!!Hapo chacha!!SASA IKITOKEA MAMA ETU HAPA AMBAE ANAGOMBEA URAISI KUPITIA TIKETI YA CHAMA ACT TANZANIA,,,,, (ALLIANCE FOR CHANGE AND TRANSPARENCY)Akashinda na kua RAIS wa TANZANIA mhhhh MUMEWE TUTAMUITAJE??????????????????????
Wednesday, October 14, 2015
HILI NALO NENO!!!!!!!!!!!!
Kuna swali moja liliulizwa na mdau kutoka MTWARA (kwenye kipindi chanel ten)aliuliza hivi
BAADA YA KUPIGA KURA MNAWAAMBIA WAONDOKE wakati baada ya kuhesabu msimamizi anatakiwa kutoka nje na kutangaza matokeo,,JE ATAWATANGAZIA AKINA NANI WAKATI HAKUNA WATU?????boooonge la swali yaan nakupongeza sana ndg yangu wewe wa mtwara!!!!! haya et wajamani kuna haja ya sisis kuondoka baada ya kupiga kura???tupia maoni yako....!
MH,, RAIS HAPA UMENICHANGANYA KABISAA!!!!!!!!!!
Kuna kipind Mlitangaza kua wanachama wa ccm wako MILIONI 6,,juzi mkasema wako MILIONI 8
Haya sasa swali langu linalonitatiza HAWA WATU WANAORUDISHA KADI ZA CCM NA WENGI WANATEMA KIMYAMYA BADO WAKO MILIONI 6??NA MAJUZI KUONGEZEKA TENA MPAKA MILION 8?????Hapa nimevurugwa kdg naomben mnisaide jamani,,,,,,,,nimebaki njia panda
Friday, October 9, 2015
HIII SASA TOOMUCH BWANA!!!!
hiyo ni Wuanja wa SINONI jijini ARUSHA!ambapo mamilion ya wananchi wa jiji hilo walijitokeza katika mkutano huo wa mgombea uraisi kupitia tiketi ya CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO ,MH,RAISI MTARAJIWA EDWARD NGOYAYI LOWASSA alipowatembelea wana ARUSHA kuwaomba wampigie kura!!!haya sasa hayo ndo mambo ya kampeni jamani! na leo hii mchana ataungana na wanchi wa MOSHI MJINI!!!!Tuone huko nako cjui ndo kutakuwaje??MAANA NI HATARI TUPU!!wanamabadiliko wamechachamaa...,
JIMAMA JIZI!!!!!!!!
Mama huyo pichani anajulikana kwa jina la SOPHIA SIRIWA anatokea moshi mjini ni MWIZI MZOEFU HATARI katika maduka mbalimbali hapa mjini!!huingia dukani kama mteja af huangalia wateja wengine kama wamejisahau na kuchagua nguo au bidhaa zingine,hutumia mwanya huo kuwaibia wateja walojisahau hand bag zao zenye pesa!!
haya jamani wenye ndg wa hili jimama ndo lishashikwa na lipo KITUONI pale MSIMBAZI POLISI...hima mumfuate maaana du hii sasa ni aibu lo!!!c ungeomba hata kazi za ndani upate pesa ki hulali??kazi kuwaibia wnzio wanaongaika kutafuta kwa jasho,,mxiuuuuuu
R.I.P ESTOMIH MALLA
Mgombea ubunge wa arusha mjini kwa tiketi ACT WAZALENDO ndg Estomih Malla amefariki dunia uciku wa jana saa saba katika hospitali ya KCMC moshi!!!ndg Malla alipelekwa KCMC jana mchana kutokea hospitali ya st. thomas iliyopo Arusha mjin baadaya kulazwa hapo kwa cku mbili kwa sababu ya kupata tatizo la shinikizo la juu la damu!!!!!!
Hali jiyo ilimtokea siku ya tarehe 6/10/2015 mara baada ya kumalizika mkutano wa kampeni uliokua unafanyika ngaramatoni,ambapo alilalamika kusinikia kizunguzungu na baadae kukimbizwa hospitali ya st. Thomas, madaktari pale walisema anasumbuliwa na uchovu hivyo anapaswa kupumzika kwa muda mrefu!
TU WATEMBEZI KATIKA DUNIA KWA HAKIKA SOTE TUTALEJEA KWA MOLA!!!!!
Thursday, October 8, 2015
UKIMYA HUU UNA MSHINDO MKUU!!!!!!!!!
Kwanza kabisa niwatake radhi kwa kutopost chochote ndani ya cku 2 hizi!!!!sababu kuu ni kua bado naweka mambo sawa ili blog yetu iwe tamu zaidi!!!!mniwe radhi kipindi hiki cha marekebisho! NAJUA BILA NYIE MI C KITU!!pamoja we can.......!!!!!!!!!
Subscribe to:
Posts (Atom)