Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa katika mtandao wa BBC,![]()
wanasayansi hao wameelezea kuwa chanjo hiyo imefanyiwa
majaribio kwa nyani na kufanikiwa kuangamiza virusi
wanaofanana na VVU waitwao SIV,
na sasa wamekusudia kufanya majaribio ya chanjo hiyo
kwa binadamu. Taarifa za kisayansi zinaonesha kwamba
Simian Immunodeficiency Virus (SIV) ni virusi
vinavyosababisha upungufu wa kinga ya maradhi kwa nyani,
na vimekuwa vikienea kwa njia ya kujamiiana
miongoni mwa vizazi vya nyani.
Wanasayansi hao wamesema kati ya nyani 16 waliopewa
chanjo hiyo waliyoipa jina la Cytomegalovirus (CMV)
,tisa walipona kabisa maradhi ya SIV.
Taarifa hiyo imeongeza kuwa kwa kawaida nyani ambaye
ameambukizwa SIV hufa ndani ya kipindi cha miaka miwili.
Mtaalamu wa Taasisi ya Chanjo katika Chuo Kikuu cha
Oregoni ambaye alihusika kwenye utafiti huo, Profesa
Louis Pick
No comments:
Post a Comment