Pages

Saturday, September 14, 2013

Diamond Platnumz kuwachezesha ‘Ngololo’ mashabiki wa Malaysia wiki ijayo

Diamond malaysia
Hit maker wa single mpya ‘My Number One’ ambayo tayari imeshakuwa gumzo ndani na nje ya nchi, msafi Diamond Platnumz, anaendelea kula matunda ya jasho lake ambapo sasa anatarajiwa kwenda kuwachezesha ‘ngololo’ mashabiki wake na wapenda burudani wa Malaysia wiki ijayo.
Show hiyo iliyoandaliwa na Crown Entertainment inatarajiwa kufanyika IJumaa ijayo September 20 nchini humo

No comments:

Post a Comment