Sakata la Ruge & jaydee ni ugomvi wa kifamilia,lakini wananchi tunajua mapungufu yao na kwa vilio vyetu tunafahamu nani ni tatizo kwetu!
Sasa weka pembeni ugomvi wa kifamilia wa Ruge na Jaydee na sasa jaribu kujiuliza mengineyo anayohusika nayo Ruge'
Hivi unafahamu kwamba Gk wa East coast team Ruge ndie aliyempoteza? je unafahamu kwamba Ruge ndie aliyeiua Daz nundaz? je unafahamu kwamba Ruge anahusika kama bosi kwenye makundi ya Tmk wanaume ya Fella na Tiptop connection na ndio maana msanii yoyote mkali akivunja mkataba na Tiptop connection ni lazma Ruge akupoteze na kukuua kimziki na mfano wa wazi fatilia wakali waliovunjaga mkataba na Tiptop connection utapata jibu,ambao ni Mb dogg,Spark,Zanto,Chelea man,Kassim,Dogo janja,PNC,Keysha! hebu angalia hii list then utapata jibu'
Ruge ana mambo mengi sana ya chini kwa chini ambapo kwa mtu ambaye ameanza kusikiliza muziki huu kwa kipindi hiki cha kina Bobjunior na kina Diamond hawezi kujua ubaya wa Ruge kwani media zinawapumbaza!
je unafahamu kwamba ile show aliyoifanya Diamond pale Mliman city ilikuwa ni ya Ruge? je unatambua kwamba Diamond hausiki na kile kiingiliio wala mapato yale yaliyopatikana pale? Ruge ana dhambi nyingi sana kwa nyie ambao ni wageni hapa mjini hamuwezi kuelewa somo!
No comments:
Post a Comment