Naona baada ya leo Clouds kusema kwamba hawatapiga Nyimbo za Bongo Fleva,Times wamesema Wiki hii nzima ni Mwendo wa Bongo fleva tu(Nyumbani ni Nyumbani)na mchana huu namesikia kwenye kipindi cha Miziki ya Taarabu wakipiga nyimbo ya Jide Joto Hasira! na Vijembe juu ambavyo mi nimeviona kama ni madongo kwa Radio Clouds...
Je hii inaashiria mwanzo wa Bifu Baina ya hizi Radio Mbili maarufu hapa Mjini?!
No comments:
Post a Comment