Diamond na Wema Sepetu hivi karibuni kumetoke fununu kwamba,Wema ambembeleza Diamond kwenye simu Kimahaba wakati Diamond akiwa amepumzika na Mpenzi wake Pennel Munglwa, na wapenzi hao kumrecord.Na maongezi hayo kurushwa kwenye Clouds katika kipindi cha "YOU HEARD".
No comments:
Post a Comment