Sio utani…huyo pichani ni Rapper wa Kike, Nicki Minaj ambaye pia ni Judge kwenye show ya American Idol. Nicki ambaye anajulikana kwa mbwembwe na vioja vya kila aina vikiwemo vya hivi karibuni “kupambana” kwa maneno makali na Judge mwenzake katika American Idol, Mariah Carey, yasemekana ni miongoni mwa wanamuziki wa kike wanaopenda sana pikipiki.
No comments:
Post a Comment