Pages

Wednesday, April 17, 2013

BREAKING NEW: BIBI KIDUDE AFARIKI DUNIA

Mwanamuziki maarufu na mwenye umri mkubwa kuliko nchini Tanzania, Bi Kidude, amefariki dunia leo hii akiwa Zanzibar, alikuwa anaumwa na alipowahishwa hospitali haikuwa rizki tena

No comments:

Post a Comment